+255767659145 info@masaihost.com
Mon-Fri: 9AM-6PM
+255767659145 info@masaihost.com
Mon-Fri: 9AM-6PM
+255767659145 info@masaihost.com
Mon-Fri: 9AM-6PM

Mfumo Kamili wa Usimamizi wa Shule na Vyuo

Vipengele vya Mfumo

👨‍🎓 Student Information

💳 Online Fees Collection

💰 Income & Expenses Management

📝 Exams Management

Simamia mchakato mzima wa mitihani, kuanzia kuandaa examinations, subjects na marks hadi calculation ya grades, averages, positions na kutengeneza report cards.

📚 Academic Management

Simamia shughuli za kitaaluma kama subjects, classes, streams, academic performance, teacher assignments, timetables na taarifa nyingine za kitaaluma.

👩‍🏫 HR & Staff Management

Hifadhi na simamia taarifa za walimu na wafanyakazi, majukumu yao, assignments, attendance na taarifa nyingine muhimu za rasilimali watu.

📖 Online Library

Simamia maktaba yako kidigitali. Rekodi vitabu, members, book issuing na returning, pamoja na kufuatilia vitabu vilivyochelewa kurudishwa.

📦 Inventory Management

Fuatilia vifaa na mali za taasisi kwa urahisi. Simamia stock, school assets, items zinazoingia na kutoka pamoja na taarifa za inventory.

🛏️ Hostel Management

Simamia malazi ya wanafunzi kwa urahisi kupitia taarifa za hostels, rooms, allocations na wanafunzi wanaoishi kwenye kila chumba.

🎓 Alumni Records

Endelea kuwa na uhusiano na wanafunzi waliomaliza masomo. Hifadhi na simamia taarifa za alumni, mwaka wa kuhitimu, mawasiliano na historia yao ya shule/chuo.

Faida kwa Taasisi Yako

Punguza matumizi ya karatasi
Hifadhi taarifa zote katika mfumo mmoja
Rahisisha kazi za kila siku za shule/chuo
Pata taarifa na ripoti kwa haraka
Boresha usimamizi wa ada na fedha
Fuatilia maendeleo ya kitaaluma kwa urahisi
Weka taarifa za taasisi katika mfumo salama na unaoweza kufikiwa kwa urahisi

Mfumo Mmoja. Usimamizi Rahisi. Taasisi Bora.

Iwe ni shule ya msingi, sekondari, chuo au taasisi nyingine ya elimu, MasaiHost School & College Management System inakupa zana muhimu za kusimamia taasisi yako kwa ufanisi zaidi.

Wasiliana nasi leo ili kupata mfumo unaokidhi mahitaji ya taasisi yako.