TUNATENGENEZA TOVUTI KWA HARAKA, KWA UBORA NA BEI NAFUU!
Tunatengeneza tovuti (websites) zenye ufanisi, muonekano wa kisasa na zinazokidhi mahitaji ya biashara au taasisi yako — kwa haraka na kwa bei nafuu sana.
💰 Tovuti iliyokamilika: TZS 200,000 tu!
Kwa ajili ya biashara au taasisi yako, tutakutengenezea tovuti itakayokusaidia kuitangaza biashara/huduma yako, kuongeza uaminifu wa wateja na kufikisha taarifa zako kwa watu wengi zaidi wanaohitaji bidhaa au huduma zako.
🖥️ Rahisi kutumia na kusimamia
Tunatumia mfumo unaokuwezesha kubadilisha na kusasisha maudhui (contents) ya tovuti yako mwenyewe, bila kuhitaji mtaalamu kila unapohitaji kufanya mabadiliko.
📞 Wasiliana nasi leo na utuambie mahitaji yako pamoja na aina ya tovuti unayohitaji.
🌐 Pia, tembelea baadhi ya tovuti tulizowatengenezea wateja wetu kupitia orodha hii na uone mifano ya kazi zetu.



















