Masaihost.com tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika kutoa huduma za Web Hosting na Website design. Tunahudumia Biashara na Taasisi zaidi ya 250 hapa Tanzania
Wasiliana nasi tuongee kuhusu usajili wa Domain/Web Hosting na utengenezaji wa tovuti kwa ajili ya kuongeza thamani ya Biahara yako
Kwa Website Designers wanaohitaji Domain + Web Hosting pekee, wasiliana nasi upate bei maalumu ya chini zaidi (Reseller plan) kwa kila account unayosajili
Hizi hapa baadhi ya tovuti za wateja wetu



















